2015 – 2018: PhD (Kiswahili) Coursework & Thesis:
KF 103: Nadharia na Uhakiki wa Fasihi ya Kiswahili
KF 205: Uandishi wa Kubuni kwa Kiswahili: Nadharia
KF 220: Uandishi wa Kubuni kwa Kiswahili: Vitendo
KF 219: Falsafa ya Kiafrika katika Fasihi ya Kiswahili
KF 619: Mwandishi Teule
Falsafa, Nadharia, Mwingilianomatini katika Fasihi.
Mwaka 2022: Uhalisiamazingaombwe katika Riwaya za Shaaban Robert: Kusadikika na Kufikirika. Katika Mwanga wa Lugha. Juz. 7 Na. 1: 103-116.
Mwaka 2018: Mbinu za Kisanaa Zinazosawiri Falsafa ya Ubuntu katika Tamthiliya ya Tambueni Haki Zetu. Fasihi, Lugha na Utamaduni wa Kiswahili na Kiafrika: Kwa Heshima ya Prof. M.M. Mulokozi. (159-179).
Mwaka 2018: Ushairi wa Mnyampala kama Hifadhi ya Historia ya Jamii ya Tanzania. Mwanga wa Lugha. Juz. Na 2 (1) 111-126.
Mwaka 2016: Muundo wa Diwani ya Mnyampala (1965) na Nafasi yake katika Kuibua Maudhui. Kioo cha Lugha: Juz Na 14:123-145.