Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa William Anangisye amesema kuwa Chuo kitaendelea kuyaenzi kwa weledi na umuhimu mkubwa mageuzi ya Kitaasisi aliyoyaasisi aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo hiki kuanzia mwaka 1991 hadi 2006
By Jackson Isdory, CMU
The University of Dar es Salaam (UDSM) is making strides to strengthen the enduring bond between Africa and Asia through the establishment of a pioneering and an innovative hub that embraces a multidisciplinary approach to addressing issues concerning both continents.