Shirika la kimataifa la Uratibu na Ushirikiano la Uturuki (TiKA) kwa ushirikiano na Shirika la Utangazaji la Uturuki (TRT) wanaendesha mafunzo ya siku tatu ya kidijiti yahusuyo matumizi ya simu za mkononi katika kuchakata na kusambaza habari
Shirika la kimataifa la Uratibu na Ushirikiano la Uturuki (TiKA) kwa ushirikiano na Shirika la Utangazaji la Uturuki (TRT) wanaendesha mafunzo ya siku tatu ya kidijiti yahusuyo matumizi ya simu za mkononi katika kuchakata na kusambaza habari
Congratulation Dr. Edgar Ngelela for being awarded PhD
Today a project called Camera for Girls was conducted at SJMC. The project aims to empower Girls to use a camera to tell stories, to become great photojournalist, to employ themselves as well as to employ other. Its a four days intensive workshop
Conglaturation Dr. Magolanga for being awarded a PHD in the 53 congregation today 19/5/2023
Amidi wa SJMC Dk Mona Mwakalinga (nyuma mwenye miwani) akiwa na Wakongwe katika tasnia ya habari na utangazi
HONGERA KELVIN KANJE KWA KUPOKEA TUZO YA MFANYAKAZI BORA KITAIFA
Read More
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma(SJMC) tarehe 20 Machi, 2023 kimeendesha mafunzo kwa watumishi ili kuboresha huduma kwa wateja wa chuo hicho.
Akifungua mafunzo tarehe 20 Ma
Makamu Mkuu wa Chuo cha Dar es Salaam, Mipango, Utawala na Fedha Prof. Bernadeta Killian ametoa wito kwa wasimamizi wa tovuti za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutumia tovuti hizo katika kusambaza habari na matokeo ya tafiti zilizofanywa chuoni hapo
Baraza la Habari Tanzania (MCT) linatarajia kukutana na wanafunzi na walimu wa SJMC kesho Jumanne tar 6 Desemba 2022 hapa shuleni kwetu kuanzia saa 5 hadi saa 7 mchana. Lengo la mkutano huu ni kutaka kuhamasisha umuhimu na utekelezwaji wa AZIMIO L
Hongera Dkt Issa Mbura. Jamii ya SJMC inaona fahari
Amidi wa Shule Kuu ya Uandishi wa Habari akikabidhi vifaa vya michezo kwa timu za wanafunzi wanaokwenda kucheza na timu ya Shule kuu ya Elimu
Dr. Egbert Mkoko akiwa amehitimu shahada ya uzamivu tar 28/4/2021: Afrika ya Kusini